BAADA YA KUACHIA KAYA SAY G AJA NA MIPANGO HII

Januari 11, 2017
Msanii Mkongwe na mwenyekiti wa kundi la Muziki la Wise Boys lenye maskani yake wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Issa Hassan maarufu kwa jina la Say G amesema kuwa baada ya kuachia ngoma ya Kaya ambayo inaendelea kufanya vizuri katika redio mbalimbali hapa nchini amesema kuwa kwa sasa anaendelea kujipanga kuhakikisha kuwa anatoa kazi kubwa zaidi ambazo zitaielimisha jamii zaidi.

Say G ambaye ameshafanya kolabo ya wimbo wa Roho yanichoma  na Nas Biznez maujanja amesema kuwa kwa sasa mashabiki wake wategemee nyimbo kali kutoka kwake kwani yuko jikoni anatengeneza nyimbo kali zaidi.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni