Waamuzi waliochezesha mchezo wa Pamba dhidi ya Dodoma fc uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Klabu ya soka ya Pamba septemba 17 mwaka huu ilicheza mchezo wake wa kwanza katika ligi daraja la kwanza mchezo ulioikutanisha timu hiyo na Dodoma fc ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Pamba kufungwa bao 1-0, kikwazo kikubwa katika mchezo huo ilikuwa ni Mwamuzi aiyechezesha mchezo huo Clement Ntambi kwa kushindwa kutafsiri sheria 17 za soka hali iliyopeleka mnamo dakika ya 90 mwamuzi huyo kutoampenati ya utata iliyozaa bao kwa upande wa Dodoma fc, Kocha wa Pamba SC Mathias Wandiba amesema kuwa timu yake imesahau ya mchezo uliopita na anawaza ushindi katika mchezo ujao dhidi ya JKT Oljoro,