akizungumza na Mwanza Music House Zambrota ambaye ni raia wa kongo alisema kuwa ameshafanya kazi za watu binafsi na hajaona mafanikio yoyote ndiyo maana anajipanga kuja na bendi yake " mimi nimefanya kazi na Christian Bella nikiwa kama mpiga ngoma wake mkuu lakini sijaona lolote lakini pia nimekuwa mpiga ngoma wa msanii mkongwe Kinkikii lakini sijaona mafanikio ninayo yataka ndiyo maana niko mbioni kuzindua bendi yangu ambayo itaniingizia faida kuliko huko nilikokuwa" alisema
MPIGA NGOMA WA BELLA KUANZISHA BENDI YAKE