Klabu ya soka ya Yanga ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi kuu bara, tayari mewatua mkoani Kagera kwa maandalizi ya mchezo wao na Kagera Sugar utakaopigwa kesho Jumamosi Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mara ya mwisho kwa timu hizo kukutana kwenye uwanja huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 6-2 katika msimu wa mwaka jana
Credit Picha na Faustine Ruta.