BELLY GIZZO AWATAKA MASHABIKI WAKE WAKAE MKAO WA KULA

Januari 11, 2017
Msanii wa kizazi kipya kutoka jijini Mwanza Frank Valence (pichani)  maarufu kwa jina la  Belly Gizzo amewaambia mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwani siku ya jumamosi wiki hii anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la MY ambayo imetengezwa kwenye studio ya Kazimoto Studio ambapo anatarajia kutoa video na Audio ya wimbo huo.

Belly Gizzo ameuambia mtandao huu kuwa mipango yake katika muziki ni kufanikiwa na mwishowe aweze kuisaidia jamii " Mashabiki wangu waelewe kuwa mimi ni Mwanamuziki na ninaweza kuimba upande wowote ule hivyo nawaomba mashabiki wangu wajiandae kuupokea wimbo wangu huo Mpya unaoitwa MY ambao director katika video ya wimbo huo ni Milos" alieleza.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni