akizungumza na Mwanza Music House Fazoo amesema kuwa malengo yake ni kufika mbali katika muziki kama wasanii nguli kutoka mwanza walivyo kwa sasa " nafanya muziki ili niwe staa wa baadae na nitahakikisha kuwa nafuata nyayo za wasanii wa hapa mwanza ambao wanafanya vizuri katika taasnia ya burudani hapa Tanzania " alisema
na wimbo huo wa Hadownload umetengenezwa na J-Monster katika studio ya Megatown Record iliyopo hapa jijini Mwanza ukitaka kuipata track hiyo nenda Audiomarck,com.