Nyasa Boy ft Sajna waachia Mapenzi nivute

Januari 10, 2017

Msanii wa kizazi kipya anaeibuka kwa kasi hapa nchini Izack Nyasa maarufu kama Nyasa boy  ameachia video ya wimbo wa Mapenzi nivute ambao amemshirikisha Sajna huku akisema kuwa alitumia akili nyingi ili kuutenegeneza wimbo huo ambao kwa sasa unatikisa katika jiji la Mwanza.

akizungumza na Mtandao huu Nyasa Boy alisema kuwa hakuna kazi ambayo haina changamoto lakini amejipanga kutoa kazi zingine kwa wingi " katika kuutenegenza wimbo huu ambao video yake inafanywa na Director Cane nimepitia changamoto nyingi lakini ndio maisha na nitahakikisha kuwa mashabiki wangu wanapata kile wanachostahili kwa wakati.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni