Wachezaji watatu Wa timu ya mabingwa Wa kandanda Tanzania bara Young Africans ambao ni Simon Msuva, Deuce Kaseke pamoja na Aubrey Chirwa watajadiliwa na kamati ya nidhamu ya shirikisho LA soka Tanzania-TFF huku wakisimamishwa kucheza ligi kuu mpaka suala lao lijadiliwe na kamati hiyo.
Hayo ni maamuzi ya kamati ya Saa 72,ikieleza kuwa wachezaji hao walimsukuma na kumuangusha mwamuzi Wa mchezo kati ya Mbao fc na Yanga Ludovick Charles.
Wachezaji hao ni
#Simon Msuva
#Obrey Chirwa
#Deus Kaseke.