Na Mwandishi wetu Mwanza
Timu ya soka ya Magazeti fc imejikuta katika wakati mgumu baada ya kukubali kichapo cha bao 2-1 kutoka ka timu ya Igoma Heroes katika mchezo wa ligi daraja la nne mchezo uliofanyika Uwanja wa Nyamagana jijini hapa.
mchezo huo ulikuwa wa pili kwa timu hiyo ambapo mchezo wa kwanza timu ilitoka sare na mchezo wa pili ikafungwa akini timu hiyo bado inamatumaini ya kufaya vema katika ligi hiyo.