Mshambuliaji hatari wa timu ya Yanga Mzimbabwe Donald Ngoma anatarajia kujiunga na timu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili, Habari za kuaminika kutoka ndani ya timu ya Simba zinasema kuwa Ngoma anatarajia kuingia nchini Juni 28 mwaka huu kujiunga na timu hiyo " Nikweli Ngoma ataingia Tanzania juni 28 mwaka huu kujiunga na timu yetu akitokea afrika kusini kwani tayari mazungumzo yetu ya awali yalikwenda vizuri na tunachosubiri ni kusaini tu" alisema kiongozi huyo alipozungumza na Mwanzasportshouse kwa masharti ya kutitaja jina lake.
NGOMA KUMALIZANA NA SIMBA KESHO JUMATANO