CHELSEA NA MATUMAINI KIBAO YA KUMNASA BAKAYOKO

Julai 11, 2017
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu nchini England timu ya Chelsea bado inamatumaini ya kuinasa saini ya mchezaji wa timu ya AFC Monaco ya nchini Ufaransa Tiemeoue Bakayoko mwenye Umri wa miaka 22 licha ya mchezaji huyo kuwaniwa na Manchester United pia, imetaarifiwa kuwa huenda Manchester United wakatoa dau la paun milioni 40 na kuipiku Chelsea ambayo iko tayari kuinasa saini ya mchezaji huyo kwa kitita cha Paun 37. ikumbukwe kuwa Manchester United imeifanyia Umafia Chelsea baada ya kumsajairi Romelu Lucacu kutoka Eveton ambaye alikuwa anawaniwa na Chelsea pia.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni