EXCLUSIVE: RAIS MAGUFULI AUTEMEBELEA UWANJA WA NYAMAGANA.

Julai 03, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph  Magufuli leo jumatatu ameutembelea uwanja mkongwe  wa Michezo wa Nyamagana ambapo pamoja na mambo mengine ameukagua uwanja huo, Uwanja huo wa Nyamagana ambao ujenzi wake umemalizika hivi karibuni umeshaanza kutumika ambapo kwa sasa Michuano ya ligi daraja la nne ngazi ya wilaya ya Nyamagana  ndiyo inaendelea uwanjani hapo, pamoja na kuutembelea Uwanja huo  amesalimiana na wachezaji waliokuwa Uwanjani hapo na kisha kuendelea na safari yake kuelekea Ikulu ndogo ya Mwanza iliyopi Kapripointi jijini Hapa.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni