MERTESACKER KUWA KOCHA WA VIJANA ARSENAL

Julai 07, 2017
Beki wa kati wa Arsenal Per Mertesacker anatarajia kuwa meneja wa timu ya vijana ya Arsenal baada ya msimu ujao wa ligi kuu nchini England kumalizika, Per raia wa Ujerumani  mwenye miaka 32 amesema kuwa atakuwa atacheza Arsenal msimu ujao lakini mara baada ya msimu wa Ligi  kumalizika atajiunga na kikosi cha vijana na Arsenal  

kwa upande wake Kocha mkuu wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa Per ni mtu sahihi kwa timu hiyo ya vijana na wachezaji hao watajifunza mengi kutoka kwake " Per nitakuwa naye msimu ujao wa ligi na ataendelea kujifunza zaidi na kupata maarifa zaidi imani yangu ni kwamba ataisaidia timu ya vijana wa Arsenal kutokana na uzoefu wake katika Ligi ya Uingereza.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni