NYEGEZI TERMINAL WANZA VYEMA NDONDO CUP WAICHAPA BUZURUGA TERMINAL

Septemba 20, 2017
Yale mashindano ya Ndondo Cup katika mkoa wa Mwanza yameanza kutimua vumbi leo septemba 20 kwenye Uwanja wa Nyamagana ambapo katika mchezo wa Ufunguzi uliozikutanisha Nyegezi Terminal na Buzuruga Terminal umemalizika kwa Nyegezi Teriminal kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo ulioshuhuiwa na mamia ya mashabiki, Buzuuruga Terminal walikuwa na jezi ya Rangi nyekundu huku Nyegezi terminal wakiwa na jezi ya Blue katika mchezo huo, mgeni rasm katika ufunguzi wa mashindano hayo alikuwa ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni