Shirikisho la soka nchini Nigeria limetangaza majina 30 ya wachezaji watakaoiwakilisha nchi yao katika mashindano ya kombe la dunia linalotarajia kuanza kutimua vumbi juni 14 Moscow nchini Urusi na katika kikosi hicho cha wachezaji 30 kinatarajia kuchezwa na kubaki wachezaji 23 ambao majina yao yanatakiwa kuwasilishwa kwenye shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA kabla ya tarehe 4 mwezi juni mwaka huu.
kikosi kamili kilichotajwa hiki hapa
Goalkeepers: Ikechukwu Ezenwa (Enyimba FC), Francis Uzoho (Deportivo La Coruna, Spain), Daniel Akpeyi (Chippa United, South Africa), Dele Ajiboye (Plateau United).
Defenders: Abdullahi Shehu (Bursaspor FC, Turkey), Tyronne Ebuehi (Ado Den Haag, The Netherlands), Olaoluwa Aina (Hull City, England), Elderson Echiejile (Cercle Brugge KSV, Belgium), Brian Idowu (Amkar Perm, Russia), Chidozie Awaziem (Nantes FC, France), William Ekong (Bursaspor FC, Turkey), Leon Balogun (FSV Mainz 05, Germany), Kenneth Omeruo (Kasimpasa FC, Turkey), Stephen Eze (Lokomotiv Plovdiv, Bulgaria).
Midfielders: John Obi Mikel (Tianjin Teda, China), Ogenyi Onazi (Trabzonspor FC, Turkey), Wilfred Ndidi (Leicester City, England), Oghenekaro Etebo (UD Las Palmas, Spain), John Ogu (Hapoel Be’er Sheva, Israel), Uche Agbo (Standard Liege, Belgium), Joel Obi (Torino FC, Italy), Mikel Agu (Bursaspor FC, Turkey).
Forwards: Ahmed Musa (CSKA Moscow, Russia), Kelechi Iheanacho (Leicester City, England), Moses Simon (KAA Gent, Belgium), Victor Moses (Chelsea FC, England), Odion Ighalo (Changchun Yatai, China), Alex Iwobi (Arsenal FC, England), Nwankwo Simeon (Crotone FC, Italy), Junior Lokosa (Kano Pillars).