Timu ya soka ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Uefa Uropa League baada ya kuitandika timu ya Olympic Masseile kwa jumla ya bao 3-0 huku mshambuliaji hatari wa Ufaransa Antoine Greizman akifunga mabao mawili katika fainali hiyo huku bao la tatu likifungwa na nahodha wa timu hiyo Gabi dakika ya 90 ya mchezo huo, Olympic Maseile ilitinga katika fainali ya michuano hiyo baada ya kutinga katika fainali kama hiyo mwaka 2004.
zifuatazo ni picha zinavyoonyesha hali ilivyokuwa katika Fainali hiyo.
Nahodha wa kikosi cha Olympic Masseile Demitty Payet akitoka nje ya Uwanja baada ya kuumia katika fainali hiyo
Antonio Greizman akifunga bao
Mshambuliaji wa Atletoco Madrid Antoine Grezman akishangilia moja ya bao alilofunga.