NYASA BOY KUTOA NGOMA NA SAIDA

Januari 10, 2017
Msanii chipkizi wa kizazi kipya Izack Nyasa maarufu kwa jina la Nyassa Boy mwenye maskani yake Wilayani Nyamagana jijini Mwanza  yuko mbioni kutoa wimbo na msanii mkongwe wa nyimbo za asili hapa nchini  Saida Karoli ambapo lengo kuu na kufanya nae kazi ni kuwaonyesha mashabiki wake kuwa anawajali sana " mimi nimeamua kufanya kolabo na Saida kwakua yeye ni msanii mkongwe na nina imani kuwa nitajifunza mengi sana kutoka kwake" alisema

last post see below

Next Article
« Prev Post
First
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni