TIMU YA SOKA
YA MBAO FC JANA JUMANNE ILISHINDWA
KUUTUMIA VEMA UWANJA WAKE WA NYUMBANI
BAADA YA KULAZIMISHWA SARE YA KUTOFUNGANA NA TIMU YA MAJIMAJI KATIKA MCHEZO WA
LIGI KUUU BARA ULIOFANYIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA NA BAADA YA MCHEZO HUO KUKAMILIKA SPORTS YA
CAPITAL RADIO ILIZUNGUMZA NA KOCHA MKUU WA MAJIMAJI FC KALIMANGONGA ONGALLA NA
KUSEMA KUWA TIMU YAKE LEO IMECHEZA KAMA VETERAN NA HAWAKUSTAHILI KUPATA HATA
POINTI MOJA
NAYE KOCHA
MKUU WA MBAO FC MRUNDI ETTENE
NDAYIRAGIJE AMEBAINISHA KUWA MALENGO YAO ILIKUWA NI KUPATA POINTI TATU LICHA YA
KUAMBULIA SARE KATIKA MCHEZO WA LEO