Wise Boys waachia ngoma Mpya... Acha tuwape raha.

Machi 02, 2017
Na Johnson James, Mwanza
Kundi la Muziki la Wise Boys &Girls lenye maskani yake wilayani Kibondo  mkoani Kigoma lieachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'Acha tuwape raha ' Ngoma ambayo imetengenezwa studio za Pamoja record zinazomilikiwa na msanii mkongwe hapa nchini Nass Biznes maujanja zilizopo jijini Dar es salaa,, Akizungumza na Mwanza Music House Mwenyekiti wa Wise Boys Hassan maarufu kama Say G amesema kuwa wameamua kutoa nyimbo hiyo kutokana na kukaa muda mrefu bila kuachia ngoma " kundi letu linazaidi ya miaka nane hivyo kwa muda sasa tulikuw ahatujatoa ngoma ya pamoja hivyo tunaomba wadau na mashabiki waendelee kutusapoti" alisema ukitaka kuipata ngoma hiyo unaweza kuidownload kwenye link ya audiomarck,com

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni