Yanga yamtimua Hans Van der Puijm

Machi 03, 2017
Habari ambazo bado hazijathibitishwa ni kwamba Mabingwa wa tetezi wa Ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga wamemtimua mkurugenzi wake wa Ufundi na aliyewahi kuwa Kocha mkuu wa Timu hiyo Mholanzi Hans Van Der Pluijm kutokana na sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Habari ambazo mtandao huu umezipata kupitia ukurasa wa mwandishi wa habari za michezo nguli hapa nchini Maulid Kitenge kupitia ukurasa wake wa Twitter zinasema kuwa Pluijm ametupiwa virago

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni