FIFA YAISAFISHA MANCHESTER, JUVE BADO KIMBEMBE

Juni 20, 2017
Na Mwandishi wetu, Cardif 
Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA limeisafisha klabu ya Man United juu ya tuhuma za awali zilizowahusisha na ulaghai katika usajili wa kiungo Paul Pogba kutoka Juventus, ambao uliigharimu klabu hiyo ada ya usajili pauni milioni 89.3.
Lakini klabu ya Juventus bado ipo kitanzani kwenye uchunguzi,juu ya tuhuma za kufanya udanganyifu wa usajili huo uliojaa ukwasi uliopitiliza katika soko la usajili ulimwenguni

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni