Na Mwandishi wetu Dar es salaam
Klabu ya Simba imethibitisha kuwa tayari imemrudisha nyumbani aliyekuwa Beki wa timu hiyo Shomar Kapombe ambaye amesaini kuichezea Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea timu ya Azam fc, hapo awali zilikuwa tetesi na sasa tayari mchezaji huyo amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hyo ya mtaa wa Msimbazi.