Timu ya soka ya Real Madrid ya Nchini Hispania imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa michuano ya Uefa Championis League kwa mara ya 12 baada ya kuichapa bila huruma timu ya Juventus kutoka nchini Italy Katika fainali ya kihistoria iliyopigwa uwanja wa Cardif nchini Swizeland. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Christian Ronaldo alirefunga mabao mawili, Casamiro aliyefunga bao moja pamoja na Alvaro Morata huku bao la kufutia machozi kwa Juventus likifungwa na Mario Manzuckich.
Real Madrid imetwaa Ubingwa wa Uefa Championi mara mbili mfululizo kw amara ya kwanza ambapo miaka 27 iliyopita AC Milan ndio waliwahi kufanya hivyo