ZAMBIA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA U-20 KOREA

Mei 31, 2017





Na Mwandishi wetu , Korea.
 Wawakilishi wa bara la African katika michuano ya kombe la dunia kwa vijana wenye umri chini ya mika 20  timu Ya taifa ya Zambia imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo  Baada Ya Kuibuka na Ushindi Wa bao 4 - 3 Dhidi Ya Ujerumani katika mchezo uliopigwa dakika 120 ambapo timu hiyo inaungana na timu ya Ureno iliyokuwa ya kwanza kutinga nusu fainali baada ya asubuhi ya leo kuichapa timu ya Jamhuri ya korea ambao ndio waandaji wa michuano hiyo  kwa bao 3-1 mchezo uliopigwa  majira ya saa 2:00 asubuhi.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni