Na Janeth James
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua mashindano ya Umiseta Kitaifa , mashindano ambayo yanatarajia kufanyika jijini Mwanza kuanzia juni 6 mwaka huu mpaka juni 16, Mama Samia atazindua mashindano hayo ya Umiseta juni 8 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumbana baada ya kumalizika kwa mashindano ya Umiseta ambayo huhusisha wanafunzi wa shule za sekondari juni 28 Waziri wa Nchi Tawala za mikoa Mh George Simbachawene atazindua mashindano ya Umitashumta ambayo yatashirikisha wanafunzi wa shule za msingi kote nchini.