SINGIDA UNITED YAONDOLEWA SPORTS PESA CUP

Juni 05, 2017

Timu ya soka ya Singida United ya Mjini Singida iliyokuwa ikishiriki michuano ya Sport pesa Cup imeyaaga mashindano hayo baada ya kuondolewa katika michuano hiyo baada ya kukubali kichapo cha penati 5-4 kutoka kwa timu ya FC Leopard ya nchini Kenya  Katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam baada ya mchezo wa timu hizo kumalizika ndani ya dakika 90 kwa timu hizo kufungana bao 2-2 hata hivyo Singida Unitedinayonolewa na Kocha wa zamani wa Yanga mholanzi Hans Van der Pluijm  ilionyesha kiwango cha hali ya juu licha ya kuondolewa katika mashindano hayo.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni