Taarifa ambazo zimeufikia mtandao huu ni kwamba Kiungo na nahodha wa timu ya Simba Jonas Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kubaki klabuni hapo, taaifa za awali zilieleza kuwa huenda Jonas Mkude akatua Yanga baada ya makubaliano yake na Viongozi wa Simba kukwama lakini hivi leo Jonas Mkude amesaidi kandarasi ya kusalia Simba kwa dau ambalo haijakwekwa wazi, endelea kufuatilia mtandao wa Mwanza sports House kwa taarifa zaidi.
last post see below
Next Article
« Prev Post
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
- use this code to select difert type of word with bold use
<strong></strong>
or<b></b>
. - for the italic use
<em></em>
or<i></i>
. - To write letters underline use
<u></u>
. - To write letters strikethrought use
<strike></strike>
. - To write code HTML use
<code></code>
atau<pre></pre>
atau<pre><code></code></pre>
, And please put The code in the parser box below.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)