NATHAN AKE AKAMILISHA UHAMISHO KWENDA BOUNERMOUTH

Juni 30, 2017
Aliyekuwa Beki wa timu ya Chelsea ambao ndio mabingwa wa sasa wa ligi kuu nchini England  Nathan Ake amejiunga na timu ya AFC Bounermouth inayoshiriki ligi kuu nchini England kwa kitita cha Eruo milioni 20 ambapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 anatarajia kujiunga na timu hiyo muda wowote baada ya  kutoka klabunni hapo mwezi januari kurudi Chelsea  baada ya kuwa kwenye mkopo wa muda mrefu klabuni hapo.

kwa upande wake Nathan Ake amesema kuwa amefurahi kupata changamoto mpya licha ya kuwa kwenye klabu kubwa " kimsingi Chelsea ni timu kubwa na nimejifunza mengi na nafikiri hapa Bounermouth ni mahala sahihi kwangu mimi kujiendeleza zaidi" alisema

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni