NENDA TIOTE TUTAKUKUMBUKA

Juni 18, 2017
Aliyekuwa Nyota wa timu ya Newcaste ya nchini England na mchezaji wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Cheick Tiote leo ameagwa nchini Ivory Coast baada ya kufariki mapema mwezi huu kwa shambulio la moyo huku akiwa mazoezini na klabu yake ya Beijing Enteprises, Katika msiba huo wa taifa la Ivory Coast ulihudhuliwa na baadhi ya wachezaji wa timu ya zamani ya taifa akiwemo Kollo Toure pamoja na Solomon Kolou wakijitokeza kumboleza msiba huo mkubwa katika taifa la Ivory Coast, 

Akitoa salamu za rambirambi mchezaji mwenzake na Tiote, Cise amesema kuwa mpaka sasa yeye haamini kilichotokea na yote amemwachia Mungu . Tiote amefariki akiwa na umri wa miaka 30 ambapo nembo yake katika soka la dunia haitasahaulika kamwe. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amen.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni