URENO NA MEXICO ZATOSHANA NGUVU

Juni 18, 2017
Timu ya taifa ya Ureno imelazmishwa sare ya kufungana bao 2-2 na timu ya Mexico katika mchezo wa mashindano ya kombe la Mabara, Mabao ya Mexico yalifungwa na Javier Hernandez pamoja na Moreno huku yale ya Ureno yakifungwa na Quaresma dakika ya 34 huku Cedric akifunga bao la pili la mchezo huo, Kivutio kikubwa katika mchezo huo ilikuw apame mchezaji wa timu ya Ureno Cedrick alipofunga bao waamuzi walidhani kuwa huenda bao lake ni la kuotea lakini waamuzi ambao walikaa kucheza kwenye luninga waliruhusu mchezo kuendelea baada ya kubaini kuwa bao lililofungwa na Ureno bao la pili ni halali.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni