SALAH AMALIZANA NA LIVERPOOL

Juni 22, 2017

 Mohamed Salah tayari amejinunga na timu ya Liver Poool ya nchini England kwa ada ya uhamisho wa paund milioni 39 akitokea timu ya Roma inayoshiriki ligi kuu nchini Italia baada ya kufuzu vipimo vya afya alivyofanyiwa mapema asubuhi ya Alhamisi ya juni 22 . Salah amekuwa mchezaji ghali zaidi katika kikosi cha Liverpoo baada ya kuvunja rekodi ya usajiri katika timu hiyo iliyomaliza nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi kuu England msimu uliomalizika.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni