Chile baada ya kuwakaanga Wacameroon kwa bao 2-0katika mchezo wa kombe la Mabara , Leo wanakutana na Wajerumani. Timu hizi mbili zimeshakutana mara 7 mpaka sasa, Ujerumani ameshinda mara 5 na Chile wameshinda 2. na leo wanakutana kwa mara ya nane ambapo mara ya mwisho kwa timu hizo kukutana ilikuwa March 5 mwaka 2014 ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Ujeruman kufichapa Chile bao 1-0 je leo saa tatu usiku nani ataibuka kideadea? USIKOSE SAA3 KAMILI USIKU KUUCHEKI MTANANGE HUO.
CHILE VS GERMAN NANI KUIBUKA MBABE LEO?