YANGA YAIFUATA AFC LEOPARDS NUSU FAINALI SPORTS PESA CUP

Juni 05, 2017
Na Janeth James, Dar es salaam

Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania, timu ya Yanga imetinga  hatua ya nusu fainali ya michuano ya  Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penalti baada ya kuichapa Tusker ya kenya kwa juma ya mikwaju 4-2 baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo bila kufungana.

Yanga inaungana na AFC Leopards ya Kenya kucheza hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo mchezo utakaopigwa juni 8 mwaka huu ambapo AFC Leopard imetinga nusu fainali baada ya kuichapa Singida United inayonolewa na Kocha wa zamani wa Yanga Hans Van Der Pluijm kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo kufungana bao 2-2.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni