Nyota wa zamani wa timu ya soka ya Newcastle ya Nchini England na mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast Cheick Tione amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa mazoezini na timu yake nchini China, Tiote amefariki akiwa na Umri wa miaka 30 ambapo amejiunga na ligi ya China miezi minne iliyopita.NYOTA WA ZAMANI WA NEWCASTLE UNITED YA NCHINI ENGLAND AFARIKI DUNIA
Nyota wa zamani wa timu ya soka ya Newcastle ya Nchini England na mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast Cheick Tione amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa mazoezini na timu yake nchini China, Tiote amefariki akiwa na Umri wa miaka 30 ambapo amejiunga na ligi ya China miezi minne iliyopita.
