DEUS KASEKE AIKACHA YANGA ATUA SINGIDA UNITED.

Julai 21, 2017
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Yanga Deus Kaseke tayari amejiunga na timu ya Singida United iliyopanda daraja kucheza ligi kuu bara msimu ujao, Kaseke amemalizana na Singida United baada ya mazungumzo na timu yake ya Yanga kushindwa kukamilika ikumbukwe kuwa Kaseke alisajiliwa na Yanga akitokea Mbeya City na sasa amejiunga na aliyekuwa kocha wake wa zamani Kocha Hans Van Der Pluijm ambaye ndiye alimvuta kujiunga na Yanga kutokea Mbeya City , Kaseke anaungana na wachezaji wenzake ambao wako kambini jijini Mwanza wakijiwinda na ligi kuu bara msimu ujao.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni