Chelsea wamekaimisha uhamisho wa aliyekuwa mshambuliaji wa timu ya Real Madrid Alvaro Morata ambaye amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Chelsea, Morata ametua Chelsea kwa dili la uhamisho wa paundi milioni 70.6 na atakuwa akilipwa paundi 155000 kwa wiki na ikumbukwe kuwa siku ya jumatano wiki hii Morata aliwaaga wachezaji wenzake pamoja na kocha wake mkuu Zinedine Zidane na kumtakia kila la heri katika maisha mapya ndani ya Chelsea.
CHELSEA WAMALIZANA NA MORATA