RUKAKU AANZA MAZOEZI NA POGBA

Julai 07, 2017
Mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku raia wa Ubelgiji anayejiandaa kuhamia timu ya Manchester United kwa uhamisho wa ada ya paundi milioni 75 tayari ameanza kufanya mazoezi binafsi na kiungo wa timu hiyo Paul Pogba ambaye alijiunga na Manchester United msimu ulioisha, wawili hao wameonekana wakifanya mazoezi kwa pamoja kwenye Uwanja uliopo Los Angels nchini Marekani  na hilo limetafsiriwa kama moja ya kutengeneza muunganiko utakaoisaidia Manchesteer kufanya vema msimu ujao baada ya kukosa makombe kwa miaka kadhaa

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni