NEYMAR ALIVYOTAMBULISHWA PSG

Agosti 04, 2017
Mbrazil Neymar Dos Santoz leo ijumaa asubuhi amevunja rekodi ya kuwa mchezaji aliyesajiliwa kwa fedha nyingi kwa muda wote ulimwenguni  baada ya kujiunga na timu ya PSG ya Ufaranza  kwa ada ya  kitita cha paund milioni 198 akitokea timu ya Barcelona ya nchini Hispania na baada ya hapo Neymar ametambulishwa na kupewa jezi namba 10 iliyokuwa ikivaliwa na mchezaji wa zamani wa timu hiyo  Zlatan Ibrahimovic mbaye kwa sasa anakipiga katika timu ya Manchester United, Neymar kwa sasa ndiye mchezaji ghali zaidi duniani ambapo amevunja rekodi ya Paul Pogba ambaye alisajiliwa kwa kitita cha pauni milioni 89 msimu uliomalizika akitokea Juventus ya nchini Italia.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni