NIYONZIMA ATANGAZWA RASMI SIMBA

Agosti 01, 2017
Klabu ya timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es salaam leo imemtangaza rasmi aliyekuwa mchezaji wa timu ya Yanga Haruna Niyonzima kuwa ni mchezaji halali wa timu hiyo baada ya mchezaji huyo kumaliza mkataba na timu yake ya zamani, akizungumza na wanahabari Ofisa habari wa tiu hiyo Hajji Manara amesema kuwa tayari wamemalizana na mchezaji huyo " Simba tayari tumemalizana na Niyonzima na atatua hapa nchini wikendi ijayo na atacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports ya nchini Rwanda" alisema

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni