NEYMAR ARUHUSIWA KUJIUNGA PSG

Agosti 02, 2017
Baada ya kuripotiwa kuwa mshambuliaji wa Barecelona Neymar Dos Santoz  ameyakacha mzoezi ya timu hiyo leo asubuhi amefika katika mzoezi hayo ambapo alidumu kwa muda wa dakika 43 kabla ya kuondoka, Radio moja nchini Hispania ijulikanayo kama RAC1 imeripoti kuwa Neymar alifika mazoezini hapo kuwaaga wachezaji wenzake ambapo anatarajia kukamilisha dili na uhamisho wa Paund milioni 192 kuelekea timu ya Parsi Sant Germain ya nchini Ufaransa inayoshiriki ligi 1 nchini humo ambapo itakuw ani rekodi ya dunia.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni