PAMBA YAINYUKA MBAO NYAMAGANA.

Agosti 14, 2017
 Timu ya soka ya Pamba fc jana iliichapa timu ya Mbao fc kwa jumla ya bao 2-0 katika mchezo wa kirfiki uliopigwa Uwanja wa Nyamagana jijini hapa, Pamba fc ambayo ilianzishwa mwaka 1968 iko katika harakati za kupanda daraja baada ya timu hiyo kushuka daraja mwaka 2000.

Pamba mpaka sasa imecheza jumla ya michezo mitano ya kirafiki na imepoteza mmoja mchezo wa kwanza Pamba ilicheza na Singida United ikafungwa bao 5-, mchezo wa pili Pamba ikaifunga Iseni fc bao 2-1, Pamba ikaitungua tena Ihoma Heroes bao 4-1, Pamba ikaichapa tena iseni bao 5-0 na Pamba ikaitungua Mbao bao 2-0.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni