SIMBA DAY LEO NDIYO LEO TAIFA

Agosti 08, 2017
Baada ya kufanya usajili wa hatari na kuweka kambi ya wiki mbili Nchini Afrika Kusini, Mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam, Wekundu wa Msimbazi Simba SC, Leo katika Uwanja wa Taifa, Mnyama Simba, itawatambulisha nyota wake wapya iliowasajili pamoja na kutambulisha uzi wao mpya watakao utumia kwenye Ligi Kuu ya Vodacom 2017-2018.

Utambulisho huo utafanyika kwa Simba kupimana ubavu na Mabingwa wa Azam Rwanda Premier League (ARPL) Rayon Sports.

Shughuli nzima itakuwa Live Azam Sports HD. Saa 10:00 Jioni. na tayari wachezaji wameshafika Uwanja wa taifa kwaajili ya utambulisho huo, Karibuni wote simba uwanjani.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni