Kocha mkuu wa timu hiyo Venance Kazungu ameuambia mtandao huu kwamba timu yake imefika salama " tayari tumefika Iringa na tutawaacha vijana wapumzike na baadae tutajiandaa kuelekea mchezo wetu wa hapo kesho na Mufindi United " alisema
Mufindi United ya Iringa iko ligi daraja la kwanza kundi B Tanzania bara ikiwa nafasi ya 6 huku Pamba sports Club pia ikiwa nafasi ya 4 kundi C ikiwa na pointi 12 sawa na Mufindi United.