ALEX SANCHEZ KUWAKOSA CAMEROON KESHO KOMBE LA MABARA

Juni 17, 2017
Mshambuliaji wa timu ya Arsenal ya nchini England  na timu ya Taifa ya Chile Alex Sanchez anatarajia kuukosa mchezo wa timu yake ya taifa dhidi ya Cameroon katika mchezo wa michuano ya FIFA confederation Cup maarufu kama Kombe la Mabara baada ya kupata majeraha ya kifundo cha mguu, Kwa mujibu wa kocha wa timu ya Taifa ya Chile Juan Antonio Pizzi amaesema kuwa Sanchez alipata majeraha ya kifundo cha mguu tangu alhamisi iliyopi akiwa mazoezini " tulikua mazoezini alhamisi katika maandalizi yetu ya mchezo wetu na Cameroon lakini Alex akapata shida kwenye kifundo cha mguu hivyo nadhani anaweza kuikosa mechi yetu ya Cameroon inayotarajia kufanyika kesho saa 9:0 usiku" alisema

Chile watacheza mchezo wao wa kwanza bila nyota wao wa awili ambapo golikipa wa timu hiyo Claudio Bravo anayeichezea Manchester city kuwa na majeraha tangu april 27 mwaka huu akiwa na timu yake katika michezo ya ligi. hivyo Sanchez na Bravo wataukosa mchezo huo.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni