Mchezaji Ghali kwa sasa Duniani Paul Pogba kwa sasa yuko mapumziko nchini China, Pogba akiwa huko ametumia muda wake wa mapumziko kukutana na mchezaji wenzake Carlos Tevez ambaye waliwahi kukipiga kwa pamoja wakiwa katika timu ya Kibibi kizee cha turin timu ya Juventus, kwa sasa Paul Pogba anaichezea Machester United huku Carlos Tevez yeye akiichezea timu ya Shanghai Shenhua ya nchini China ikumbukwe kuwa Tevez pia aliwahi kuichezea Manchester United na Manchester City kwa mafanikio makubwa . nenda chini uone Pogba akifurahi akiwa China.
POGBA ALIVYOKUTANA NA TEVEZ CHINA.