Mabingwa mara 13 wa kombe la FA Nchini England Arsenal wamethibitisha kumsajiri beki wa kulia kutoka Shalke 04 Sead Kolasinac kwa mkataba wa muda mrefu huku akiwa mchezaji huru, ikumbukwe kuwa majira ya baridi timu za Chelsea, Manchester City, Liver Poool na Juventus zilikuwa zikimuaniwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 raia wa Bosnia hivyo leo Baada ya koch wa Arsenal Arsene Venger amefanya usajiri wake wa kwanza tangu asaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuinoa klabu hiyo.
ARSENAL WASAINI KIFAA KIPYA.