Caps United wamemsaini nyota huyo baada ya kufuzu majaribio ya wiki mbili alipokuwa akifanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini humo.
Chidiebere anaondoka Stand United wakati karibia timu nzima ikiwa inadai malimbikizo ya mishahara na fedha za usajiri ambapo Uongozi wa timu hiyo uliahidi kulipa fedha hizo kabla ya msimu ujao kuanza.