Na Mwandishi wetu, England
timu ya soka ya Totenham ya nchini England anayochezea Mkenya Victor Wanyama iko katika ukarabati wa uwanja wake wa White hate lane ambao umekuwa ukitumika kwa zaidi ya miaka 108 ambao unatarajia kumalizika kabla ya msimu ujao wa ligi kuu nchini humo inayotarajia kuanza mwezi agost mwaka huu, ikumbukwe kuwa Uwanja huo endapo ukimalizika utakuwa na uwezo wa kubeba watu 61559 ambao uwanja huo utakuwa ndio uwanja mkubwa kuliko viwanja vyote kwa timu zenye viwanja na inatazamiwa kwamba endapo Uwanja huo utakwama kukamilika kabla ya wakati Totenham watautumia Uwanja wa Wembley huku ukarabati wa Uwanja wao ukiendelea.