Na Johnson James, Mwanza
Mwenyeiti wa zamani wa timu ya Simba Hassan Dalali leo ahamisi anatarajia kuwa mgeni katika mahojiano yatakayorushwa na Global TV Online kuanzia saa 9 alasiri, mzee huyo mkongwe katika maswala ya michezo anatarajia kueleza mengi ambapo nahodha Saleh Ally maarufu kama Saleh Jembe ataongoza mahojiano hayo usisahau kushare.