SALAH AKARIBIA KUJIUNGA NA LIVER POOL

Juni 22, 2017
Winga wa timu ya Roma ya Nchini Italia na mchezaji wa zamani wa timu ya Chelsea Mohamed Salah  anakaribia kujiunga na timu ya Liverpool kwa usajiri wa rekodi katika timu hiyo ambapo leo asubuhi amefika Liver Pool kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya. Salah ambaye anasajiriwa na Liver Poool kwa ada ya usajiri wa adaya ya Euro milioni 39 anakaribia kurejea tena England baada ya kuondoka Chelsea misimu miwili iliyopita. Ikumbukwe kuwa Salah anajiunga na Liver pool baada ya kuwaniwa na klabu hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu bila mafanikio.

last post see below

Next Article
« Prev Post
Previous Article
Next Post »
PEOPLE WHO COMMENT BELOW POST DROP YOUR OPINION
  • use this code to select difert type of word with bold use <strong></strong> or <b></b>.
  • for the italic use <em></em> or <i></i>.
  • To write letters underline use <u></u>.
  • To write letters strikethrought use <strike></strike>.
  • To write code HTML use <code></code> atau <pre></pre> atau <pre><code></code></pre>, And please put The code in the parser box below.

Disqus
OkUser Add your comment

Hakuna maoni